KUTOKA MTANDAONI
Hadi kufikia mwaka 2013 jina lake lilikuwa likifahamika kwa watu wachache sana ila hadi katikati ya mwaka 2014 amegeuka kuwa mmoja kati ya watu wanaoongoza kuandikwa mitandaoni na hata kutajwa sana katika vituo mbalimbali vya habari huyu si mwingine bali ni yule Boyrafiki wa mwanadada Shilole Nuh Mziwanda anayetamba na kibao chake cha 'msondongoma'.
Imekua ikielezwa mara nyingi kuwa Nuh anamfaidi sana mwanadada uyo kwani amekuwa ndio chanzo cha Nuh kupata kick town na kubusti mziki wake tofauti na ilivyokuwa hapo awali.
0 comments:
Post a Comment