Live!! Live!! DIAMOND PLATNUMZ AFUNGUKA... NILIDHALILISHWA UJERUMANI KWA KUDAI HAKI YANGU
Mwanamziki Diamond platnumz aeleza jinsi kudai haki yake ya malipo yaliyosalia kwenye shoo yake nchini Ujerumani yalivyomfanya akanyanyasika kwa kutukanwa yeye pamoja na ndugu zake ambao hata hawahusiki kabsa
katika shoo hiyo ambayo aligoma kupanda jukwaani adi atakapomaliziwa malipo yake japo kama alivyodai hayakua mengi kiivyo ila ni haki yake kulisababisha kutokea vurugu iliyotokana na mashabiki wake kupandwa hasira baada ya kutokumuona jukwaani.
baada ya tukio hilo msanii uyo wa kibao cha mdogo mdogo alirejea nchini japo kuna tetesi kuwa atarudi nchini ujerumani kufanya onyesho jingine.
 

 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment