background img

The New Stuff

KUTOKA BONGO MOVIES!!!!__KUHUSU NDOA WASTARA AWEKA WAZI BOFYA HAPA KUJUA


KUTOKA MTANDAONI
Mwanadada Wastara ameweka wazi kuwa kwa sasa hana mpngo wa kuolewa wala hawazi kuhusu hilo labda mpaka muda Fulani upite, kutaka kujua muda huo mwanadada Wastara ameeleza pengine ni baada ya miakamiwili au Zaidi.

Kuhusu sifa anazohitaji wanadada huyo alisema mume wakumuoa yeye lazima awe anampenda kweli kwani yeye kwa sasa ni mlemavu hivyo anataji upendo wa dhati.

0 comments:

Popular Posts