background img

The New Stuff

KUTOKA KIJIWENI, SIMLIZI ZA SHUGA BOY__HUDUMA KWA HUDUMA ZILIMDATISHA WAIFEE WA BOSI WANGU__BOFYA HAPA KUSOMA SIMLIZI HII!

NA MWANA KIJIWE
Jana si nilikwambia mwenetu juu ya mchizi wetu huyu wa hapa beach asa leo ndio tunalianza fulu picha lake unaambiwa hii ni HD kama ni tangazo la kibiashara basi ni kali kuliko! basi tuendalee mwenetu kupeana ma infoo!

Basi mwana akanitonya ele laifu lake lilivyokuwa unaambiwa mwenetu alikuwaga ni mchizi wa kijiwenitu pale twenty fo hawazi No dili yani yeye ni kusapoti wenetu wale wa kijiweni pale. Si ndiyo mwana akaona hau kamzi yeye kila siku nikushuhudia mafanikio ya wana akaona ngoja na mimi nijichanganye nipate doo zangu mwenyewe mwenyewe

Si ndio akaanza kula hamsini zake anakwambia  yeye alikuwa ni zile za ki belle naini yani nilipe nisepe no madeni. Basi mwana kajichanganya Zaidi akapata bingo moja ya kuwa hausi boi wa kigogo fulan hapa town unaambiwa ile dili alichoreshewa na mwenetu yuleee aliyenileta pande hizi mwana akaona mbona gudi si unasoma zile za mchagua jembe si mkulima sasa jamaa aka aplai hapa.

Fasta mwana akajipiga kozi ya uhudumu akawa nondo unaambiwa akazama kazini rasmi ile kuingia tu mjengoni mwana nyota ikang'aa akawa ndio best famili memba si unajua zile familia za kishua asa mambo hayo ndio kwa sana.Unaambiwwa mwana madogo wa mzee wa kaya wakirudi likizo tu wana injoi kinoma stori za mchizi si ndio hapo bi'mwenye hausi akaanza muelewa mwenetu! patamu hapo
 
Ikaanza zile za kusifiwa sifiwa na bi'mwenye hausi mwenetu naye si mototo wa kihuni mishe hizo alikuwa anazisikia tu kijiweni pale sasa yeye ndio laivu ile kabang!! zali hilo hapo afanyaje sasa, zile respect kwa mzee wa kaya ndio zikawa nyingi ila dizaini bi'mwenye hausi akawa kasanuka dogo ana zile za uwoga wa kitoto si ndio akatengeneza sinema wani dei.

Unaambiwa siku hiyo toka jioni bi'mwenye hausi mwenyewe ana lalamika kama hajisikii gudi mzee wa kaya kashaangaika jioni nzima no afadhali ndi kwanza bi'mwenye hausi anazidi lalama tu. Usiku huoo ukapita bila zile za kukimbizana hospito. Unaambiwa asubuhi faza mwenye nyumba akaona waifu ngoa apumzike homu.

Huyu faza unaambiwa anamiliki yadi za kuuza magari town na waifu ndio anaye ratibu mipango ya pesa pale huku mzee wa kaya akiwa na biznesi nyingine kubwa kubwa town kifupi wako supa hawa si wakitoto wenyewe.

Bi'mwenye hausi akaona yesi leo si ndio leo nimebaki na boi peke yetu ngoja niitumie hii chance murua. mwenetu anakwambia yeye hajui hili wala lile akamuandalia bi'mwenye hausi breki fasti pale si unajua zile za kigonjwa gonjwa!! huyu mwenetu basi anazijua kweli yani ikiwa ni moja ya elimu mitaa tunazozitata kijiwenibasi mwana akaitumia ile ile.

Umeona mwenetu basi akatoa bonge ya breki fasti le b'mwenye hausi kutokatu chumbani akakuta mzigo unamsubiri pale. Akiwa na kanga yake moko wenyewe wanavyoiita akakaa pale mezani unaambiwa huku akimchora mwnetu kwa dirishani namna anavyopiga kazi ndio kabisaa akazidi jiapiza kutokumswii!!!

Mwenetu hanaga taimu yani kamaliza ishu zake njee huyo moja kwa moja bafuni kujiweka gudi aendeleze mishe za ndani si ndiyo akakutana unaambiwa ile ya uso kwauso na bi'mwenye hausi fuu kanga moko yani bonge ya toto mbele yakeilando hivyo tayari ni mwenye hausi, mwenetu busara nyingi akaona ampotezee kwa kujidai na yeye kashtuka afu dizain anaona aibu. Umeona mbinu ilo mwenetu kama vip we likopi fasta yani twende sawa

unaambiwa bi'mwenye hausi dizaini alikuwa kama kajipanga vile si akafanya kama kutaka kupiga hatua toka pale alipokuwa unaambiwa kanga yote ni chini mwenetu akajionea kila kitu kwa nini usivunge kushtuka tena ile kiutu uzima yani "Usiogope mwaya hili tukio tumeona wawili tu!" ndio sentensi mwenetu aliyoipokea masikioni pake yani akafanya kama ku frizi

Alafu ndio akapata uamuzi mmoja wakuelekea alipokuwa anaelekea. Kichwani muli muli ya mchezo haramu ikawa tiyari imeshawaka kwa mwana si umeona huyu kid wa kihuni lazima izo mambo awe anazijua. huku bi'mwenye hausi anamfuata kwa nyuma fulu kuchangamka "Leo nataka kuona namna unavyopikaga maana unayajua mambo wewe mkeo atakufaidi sana hadi namwonea wivu" unaambiwa ni bi'mwenye hausi anamwambia mwenetu.

Mwana akawa fulu mpole kama sifa ya majento man ila sentensi mbili tatu huwa azikosekanagi "Karibu karibia kabisa ila leo kwa vile unaumwa sijui kama utaweza faidi vizuri" mwana akauvunja ule unaoitwa utimbulo mwenetu apo ni bonge ya chenga kama pele vile "hee!! stafaidi nini na wewe? au unakingine kitamu zaidii!!" unaambiwa hata kama ni mimi Zee huyu bi'mwenye hausi ana bonge a mitego lazima uwe gento man hapa.

Mwenetu akatabasamu tu si unajua kanuni kuu kwetu si kila swali ujibu kwa maneno mengine vitendo tu afu unatulia ajijibu mwenyewe si umenisoma hapo mwenetu basi karibia kijiwen kwetu pale mwenyewe utapenda tu mbona hizi elimu mitaa  mwenetu Amani sana tuendelaa sasa..

Mwana akiandaa andaa vitu bi'mwenye hausi naye akawa dizaini anamsaidia mwenetu huu yuko na kanga yake moko yani ni kitu Hai Definisheni fulu king'amuzi mwenetu unajionea hadi ndani mwenetu anampangia tu mahesabu yani

Tu bi kontinyu...

Mwenetu kwa leo tupozie hapo nikapige michakato Fulani town nikirudi tu mchezo unaendelea si unajua tena mwanao nilipewa fulu mkanda mwana ile alibandulia kiatu soli pale pale ani asa ivyo visa vyake dah!!! usiikose mwenetu.

0 comments:

Popular Posts