background img

The New Stuff

KUTOKA KIJIWENI__ UNAAMBIWA VIBABU! WAMEMLA JAMAA KA**L**O BAADA YAKUNYWESHWA POMBE AKAWA NJWIIIII!!! __BOFYA HAPA KUJUA MKASA MZIMA

NA MWANA KIJIWE
Habari gani kijana mwenzangu! ama nikuite mwenetu leo tena ni deimpya inayoelekea ukingoni ila mwanao wa kijiwe hichi ama Zee mwenyewe niko fulu kukupa info nilizozipakua leo kwenye pita pita zangu

wori auti mwenetu lile simulizi la Shuga boy bado linaendelea mida mida kidogo ila hapa nimeona nikushushie bonge ya mkasa niliokutana nao mtu mzima ujue hadi ile soo yani kulikoni mwenetu unakuwa na mambo za kisoro ki hiivyoo!!? ila enewei ngoja tu tuendelee mwenetu

Asa li picha lake lilikuwa kama hivi yani si unajua zile club amabazo wao wenyewe wanaunguliaga seven deizi za wiki kwao kila siku niu dei yana hakunaga wiki endi? asa hao hao leo nilisema ngoja nikacheki na wanangu wao wako maeneo hayo sana yani wenyewe si ndio mabosi yani wamiliki wa club baabuu! umenisoma ee

Basi tweni zetu ile kufika tu mtu mzima nakuta wana wamekaa kwenye zile stuli zetu wareu pale kaunta kama wanapiga diskasheni Fulani vile mwana nikasema ngoja niingie ile kimya kimya si unajua yunevano! wana wanajadili ishu gani. Ile kufika tu mtu wao wa nguvu wana wakanichangamkia kinoma noma ila ghafla wakarudi kujadili ishu yao pale

Zee si ndio nikajumlishwa ndani ya mjadala unaambiwa ni kuhusu mchizi mmoja unaambiwa yuko hoi bin taabani mwenetu nikasema ata msinizingue mwenenu ngoja nika jiakikishie mwenyewe huyo mwana wakuweka bonge ya kikao mameneja.

Shaabashi ile kufika mwenetu sikuamini amini macho yangu yani ni mwana fulu kuchafuka ile kikubwa yani si umenisoma hapo chakari adi kazima moto yani nikabidi niulize wana huyu kulikoni tena unaambiwa mwana ni jana tu kaenda pale na manzi yake wenyewe tunaomjua ni yule kicheche wa njia panda kilimani pale maketi Inn si umepasoma hapo basi pale pale

Huyu mwana ndio alikuwa naye jana hapa kwa washikaji unaambiwa wakaja wazee kama wabese hivi wakawa wanamlia mchizi taimini wasepe na mzigo wao si nilishakwambiaga huyu demu karunje wa pale maketi Inn Mwana sijui alikuwa hajui hilo ila enewei yalishamtokea dei nyingine atajifunza

Asa wazee kuona zigo unabanwa sana na mchizi si wakampelekea mwana oa ya kama laga kumi hivi chaapu!! mwana hajasanuka cha mwanaume hakiliwi yeye akazibugia fasta fasta afu alipo bugi stepu akaleta shobo kwa wale wazee.

Kufikishiwa ilo picha hapo mtu mzima ikabidi niulize ni wazee wapi hao maana mwana nilishahisi hapa kuna mtu kabandikiwa jukumu la jinsia si yake hapa ile kuambiwa tu walivyo walivyo shit!! si ndio Zee nikawavutia picha ni wale mabazazi wa kule mitaa ya dauni! kwishinei hapo

Unaambiwa si wakamchukua mwana wakampeleka toleti wakafanya yao yani wamtusua mwana kabegi kimazabe hapa si pakubwa na vile mwanga hafifu naiti mtu huwezi sanukia mchezo.
Nikamcheki mwanaa dah!! weshampiga dauni hivi hivi kisa hizi pombe za ofa na makarunje sasa vipi kuhusu demu aliyekuja naye yule unaambiwa wale wazee si walishamuonesha jeuri ya pesa kwa nini akatae unaambiwa ni gemu ya mtu mbili hiyo wakaamsha zao jeti.

Ile kumaliziwa hili sinema mtu wako waukweli si nikaanza kutafakari ujue  nau deiz hawa wazee si watu wakuamini amini wengi wamekuwa wehu si mchezo mwenetu teki kea sana kwenye bata aisee

gudi dei mwenetu..

0 comments:

Popular Posts