KUTOKA KIJIWENI _SIMULIZI ZA SHUGA BOY! SEHEMU YA KWANZA__MKE WA KIGOGO ALINIPA MARAHA, KWELI NI MASHALAAH!!__BOFYA KUSOMA ZAIDI
NA MWANA KIJIWE
"Ilikuwa ni mwaka 2010 nilipomaliza kidato cha nne katika moja ya shule nyingi za kata zilizo nchini"
Katika pita pita zangu za leo mtu wako wa nguvu Zee ndio nikachongeshwa na mwenetu wa kijiwe cha kati kuhusiana na mchongo Fulani uliomtokea mweneke mmoja mitaa ya kati kitaani, unaambiwa mchizi ndio kama kapiga bingo ila ile kimagendo magendo hivi.
Asa ukutaka kujua kuhusu mwana huyu Zee nikachoreshwa hadi pande zake anazosomeka sana huyu mwana nikaona gudi kwa nini Zee nisishe info na wewe mwenetu wa ukweli ujue toka long taimu umekuwa ukinipa mtu mzima sapoti kwa kuvisiti hizi pande big up sana mwenetu embu fanya kucheki na mimi FB tupeane hata na kotakti namba si mpango mwenetu..? au unasemaje huo mchongo!? uko poa sio poa poa nasikilizia toka kwako sasa
Turudi kwa mwana maana ni kama dakika tano kutoka kijiwe cha mshikajji wetu basi mtu mzima nikawa nimefika pande zake nikamkuta mwana yuko bize na laptop yake mezani. Mwana yuko gudi ukimcheki yale mazingira aliyokuwepo Zee nikamminya mwenetu "Oyaa hivi uyu mwana huu mjengo ni wake ama?"
Mtu mzima nikamnong'oneza mshikaji kimazabe mwana akabaki kutikisa hedi tu kuonesha yesi yesi ni mzigo wa mwana kwanza Zee nikasita nikajua hapa nadili na mtu mkubwa town kizembe haikawii kusikia mwanao niko lupango si unajua hawa mazimba wa town
Ila mwana akanitoa hofu akaniambia mwana ni mzuka hana zile za namna hiyo yani ni pisi tu! cha msingi ni kwenda sawa na swagga zake apo ndio nikataka kujua hizo swagga za mwana. Unaambiwa mwenetu mchizi swagga zake ni zile za mashuga mamiito si unaelewa zile ekheeee!! hizo hizo ndio biznes za mwenetu hapa!
Mbona hiyo ishu simpo kwa Zee nikaona hapa tutaenda sawa ngoja nikope hizo swagga, mtabe nikavuta hatua mbili tatu nikawa nimefika kwenye moja ya vti vyakaunta ya pale Aaah!! sijakwambia mwenetu ni aina gani ya mjengo wa jamaa?ni dizaini ya pub Fulani kubwa kubwa pande za bichi ocean! umeninyaka eeh! iyo hiyo.
Kwanza nikavuta macho hadi kwa mchizi bado yuko bize tu! mhudumu akaja pale mkubwa nikaagiza juisi mango alafu nikachomoa smati foni yangu nikaanza chat watsApu!! kama sina habari na mtu yule mwenetu niliyekuja naye yeye akawa ameenda mpa hai mwana afu akasepa nikabaki mwenyeji pale.
Dakika kama kumi hivi nikaona mwana amenyanyuka dizaini kamaliza ishu zake akawa kama anakuja pande zangu mi kama sina taimu vile moja mbli tatu nikasikia salamu Zee nika responi kama kawaida yangu mwana kama yupo simpo kiaina akavuta kiti akakaa
Dah!! kumcheki vizuri mwana mbona kama nampata pata vile na yeye dizaini akaniuliza hivi mwana tumeshasomana pande zipi? Zee nikavuta kumbukumbu hadi mwisho! dah! ndio nikakumbuka mwana nilisha msevu kwenye zali Fulani nikamkumbusha basi tukabaki kucheka tu!!. unajua ni ishu gani nilimsevu mwana hapo ndio nikapata picha kamili huyu mwana alikujaga kitaa chetu si nilishakwambiaga pale kitaa kuna ma shuga kama watatu hivi nikiwa kijiwe Fulani na wenetu embu fanya kuzipitia tena KUTOKA KIJIWENI utaikuta hiyo niliyobonga kuhusu hao sukari.
Asa mwana alikuja pande zile alafu dizaini akawa kapotea njia simu yake chaji ziro na hana nama yakushitua ishu lake si ndio Zee nkiwa pale kijiweni kwetu mwana akaja akaji expresi Zee nikaona isiwe tabu nikampeleka mwana hadi maeneo yake hayo. Si umeona faida zaku sevu wana yu neva no lini utakuta nao hata kama hamsomani kabsa yani.
Asa mwana ndio akawa nisha mu adi kwenye listi yangu sasa ni fulu frendi mwenetu. Mwana ndio akaanza kunipa mchongo ile dei ilivyokuwa mwana akaniuliza kama na mimi napendaga hizo ishu Zee si nikawa tayari nimeshapewa info awali nikamteli mwana ndio mishe zetu hizo! basi tukaenda sawa
Unaambiwa mwana akaanza kunipa maditeili ile mizigo pale kitaa ni fulu furusa kwa wana Serengeti mwenetu upo hapo! asa unasubiri ishu gani aisee!! hizo si ndiyo furusa za ajira..? tuka bonga mishe nyingi sana kuhusu lafu na hao sukari Zee nikaona ngoja nikuandalie mwenetu simulizi za mwana kwa uzuri! si nimesha bonga naye kuhusu hilo naye ndio anapenda kinoma anakwambia ndio tangazo hilo ama kweli watuwabunifu.
Tusomane badae mwenetu nikupe fulu muvi la mwenetu hapa mwenyewe anakwambia alikuwaga hausi boy wa kigogo Fulani na keshamsaidia sana waifeee!! mchezo hatari huu mwenetu unaambiwa donti trai zisi ati homu mwenetu!!
Badae!!...
0 comments:
Post a Comment