background img

The New Stuff

KUTOKA KIJIWENI UNAAMBIWA __MKE WA MCHUNGAJI KADATA NA SWAGA ZA MPAKA KUCHA RANGI_BOFYA HAPA KUPATA SIMULIZI KAMILI

NA MWANA KIJIWE
Ni aje mwenetu mwenyewe wa nguvu? leo mtu mzima nimeona nijimiksi kati kati ya jiji unaambiwa ni ile ele ini ze moningi nikaingia town si unajua zile za kucheki na washkaji pande za town ni kitu muhimu mwenetu.

Basi Zee kama kawa nikazama moja ya vijiwe pale kati town stendi ya mabasi ya masafa marefu si umenisoma mwenetu!! wewe ulizani naongelea eya poti hapa!? hizo huku kwetu tunazichekigi hewani tu miaka mingi iliyopita zilikuwa ni zile za ndege msalimie baba tulikuwa tuna rili lavu na washua zetu ujue japo samutaimu ndio vile mizinguo kiaina ila no sweti si ndio kichwa cha familia

Hadi nau deizi tumekuama blaza men huku kitaa ujue walifanya kazi kubwa sana mwenetu! basi na wewe tembeza gwara kwa mshua wako kokote alio hata kama ni kwa sa Godi no problem mtu wangu tupo pamoja apumzike kwa uhuru Ameni!!

Asa tuachane na hizo za lavu kwa washua zetu turudi kwenye ishu yetu ya msingi mwenetu ujue kwa nini nimeleta swaga za washua hapo ndichi!!. Unaambiwa ichi kijiwe wasela wote ni mafaza tayari asa wao hapa town alau waakikkishe ma kidi wanakula gudi na kuskongeka si unaelewa edukesheni ndio kii ofu laifu mwenetu!.

Asa nikaona nijue wana wanapiga mishe gani hapa town, unaambiwa kila jobu ni nzuri ila ni namna utakavyoipangilia mwenyewe yani, wana zao ni zile kupaka rangi bi'wadogo zetu hapa town yani kuwapendezesha kucha zao haa mjini. Ujue navyokwambia ivyo wenetu wamejenga bonge la pfisi hapa yani vuta picha ya zile saluni kali kubwa town yenu asa ndio dizaini hiyo hapa fulu aisii! hakuna joto yani

Si unanijua mi mwanao ni mtu wa mahesabu kidogo nikataka kujua kwanza hii ofisi ina kama samani ya kiasi gani cha mkwanja unaambiwa ni ishu kama milioni saba hvi embu vuta picha hapo mwenetu nikikwambia si la kitoto ujue sikuinjoi vile..

Kudodosa dodoa mtu wangu nikagundua kumbesio rangi tu bana hapa hadi masaji unapigwa mwenetu fulu ulaya ulayani vile warembo ka watatu hivi ndio wanahusika kwa hiyo pande kwa nini Zee nisimasajike sasa..? Ujue hivi vitu ndio maana wenetu wazungu wana laifu kubwa si kwa zali bali mahitaji ya wili yanapatikana mwenetu embu fanya kuja pande hizi we mwenyewe utaniambia.

Ujue kila bzinesi ina changamoto zake nikaona ngoja intake kuzijua ili na wewe mtu wangu ukitaka kuwa na ofisi ka hii ujue A tu Zedi inakuaga vipi, Blaza hapa bana changamoto nyingi hasa kwa hawa dada zetu hawa samu taimu unamhudumia freshi analeta zile za kupendana tena si unajua ukiwekeza huko unaeza lisha famlia matope hivi hivi unaona" mwana ambaye ndio kama meneja pande hizi akanichana mwanae laivu laivu ishu hizo kutoka kwa dada zetu wale ujue kumbe samu tam huwa hata ni ma waifee! za watu hapa town.. Zee nikaona kama dizaini Napata logiki kwa hii asinia ya urembaji nikamvuta chocho mweneu mwingine anipe fulu mkasa huwa inatokeaga vipi yani..

Mwana kwanza akanipa uhakika wa asilimia kama 90 hvi kuwa tuu izo ishu zipo na akanipa mfano wa yeye mwenyewe iyo ishamtokea nikaona yesi ngoja nile mkanda hapa unambiwa mwana tena yeye alikuwa ni waife wa mchungaji mmoja mkubwa tu hapa town amemletea mwana mishe hizo za kuchepuka. Ila uyu mwana anaonesha naye mtata mtata nikaamua kumtupia kiswali cha kkizushi kama alipita chafu ama alikaushiaga iyo mchepukonoko!! mwenetu ka nilijua vile anakwambiayni uache dodod kisa umekuta mchangani we kalipige ma wota afu ulibonye tu mwenetu!!

Umeona hiyo! hapo kwa nini mtu mzima nisibaki naangua kicheko tu! dah mwenetu kapita na maza mchungaji hahahah!!! ama kweli mhuni mhuni tu!!
Badae badae mwenetu saizi nilitaka nikupe ako ka mkasa nilichokipata leo ila badae simulizi za shuga boy kama kawaida zitaendelea. Vipi ushaisoma iliyopita juzi ilivyokuwa kali mwenetu...? Haa!! bado embu fanya ku bofya HAPA! upate mkasa ulivyofikia patamu!!

0 comments:

Popular Posts