NA MWANA KIJIWE
Kabla ya kusema gudi naiti!!! acha niwape wanangu nyuzi mbili tatu nilizozidaka nikiwa town si unaelewa Zee ndio ripota wako mtandaoni..? basi twende chapu chapu au huziwezi mwenetu zile za mchaka mchaka! basi haina noma ngoja twende slowo mosheni!! apo vipi
Mwanao Zee si nilikuwa town kama kawaida yangu misheni town nimetoka kujimix na wadau nkaona ngoja nianze kurudi kiskani mdogo mdogo unaambiwa Zee nimekatiza mitaa miwili ya pale town na wanangu wengine wawili wale ndio wenyeji wangu. Tumejichanganya tukaibukia pande Fulani unaambiwa Zee nikaona watoto wanajiandaa kama wana shifti za naiti makazini unaambiwa mtu mzima nikawasifia kwa masela
"dah!! wana mitaa yenu iko vizuri wadada naona fulu kujituma vipi ni manesi ama wahoteli wale"
kwanini wana wasinicheke mtu mzima eti niko dunia ya ngapi wale unaambiwa ni dada poa wenyewe wanawaitaga makarunje umeipata hiyo!! basi iweke kwenye hedi mwenetu.
Nikaona enewei ila kama kawaida yangu Zee nikataka kula info kuhusu hizo mitikasi za hawa dada zetu usiku usiku, wana si unajua sio wachoyo wa info wakaanza nidondoshea mwanao unaambiwa wale wanapiga hizo mishe kama 'faivu yiazi nau' na wanasomesha ma kidi zao kwa mishe hizo hizo.
Zee si unanijua lazima intake kujua namna yaku konekti na mizigo wanasemaga biashara konekisheni siyo matangazo tena. wana wanakwambia hawa hadi mchana mchana unakuja magetoni kwao tu wanakupa huduma kama mume vile kweli hawa wabunifu ila hau kamzi wale wazee wakitengo wanawalia buyu tu na wanajua hizo ishu ni iligo bizinesi..?
Wana wakanitonya mbona ndiyo pona ya masela wale unaambiwa kile kitaa kitu kama miaka tano nyuma ubakaji ulikuwa ndio threeti kwenye mtaa ama tishio tunavyojua sisi waswazi. wana wa kitaa hichi walikuwa ni leo unasikia motto wa mama Fulani kabakwa mkoroshoni mara yule kapigwa chali na mangi yani fulu kuigika ile kikomando wenyewe wanavyiita hivyo.
Huku tunazipiga hatua za mdogo mdogo Zee niweze kuzuumu watoto wazuri waliokuwa mbele yetu unaambiwa nao ndio wakawa wanatetemesha miili ile balaa yani Zee kwa nini nisipite na hata mmoja hapa..? nikawateli wana Oyami naona yule mwenye waiti mini ananifaa ngoja nipite naye.
Wana wakanitonya nisisahau gwanda! aah!! Zee tena mwanajeshi ni magwanda maze siwezi yasahau hat dei moja. Wana wakaona wasiniletee giza acha wageuze wakaendelee na mishe zao za kufunga dei. Mtu mzima ndio nikajichanganya nao moja kwa moja wale watoto wazuri unaambiwa walivyoniona tu Zee
sikuwapa hata sekunde kwanza nikatembeza salamu fulu kusifia siunawajua dada zetu tena yule yule mlengwa yani akafanya kuniuliza ka swali mtego wa town mwenzangu si unavijua hivyo!! "eti kaka wewe mgeni pande zetu eeh!!?" Zee sinaga makuu nikaji express chapu chapu soko likaeleweka unaambiwa mtu mzima nikajitwalia kamzigo lainiii..
kwani mwanangu raida yuko mbali nikafanya kupanda hewani tu mwana huyoo akatimba eneo unaambiwa ile boxer ya jamaa inakimbia spidi si kawaida chapu hadi hoteli Fulani maeneo ya kitaa si unaelewa mbuzi mchinje mbali na zizi mzazi
ndio Zee nika aplai maprinsipo hapo toto hizo mambo si ndio fundi mashalaah!! kama una ndoa blaza usijaribu asee maana kuchepuka dakika sifuri tu!!. Ila Zee silalagi nao hao tunamalizana nakukeshia kiroho safi najichenga. Unaambiwa toto ikafurahia ahuduma ya Zee manamba tukachenchiana Zee huyoo mwendo.
Ila mchepuko sio dili mwenetu nimetoka pale Zee nikajiona boya kinoma yani natoa miekundu yangu kisa nusu saa tu!!
0 comments:
Post a Comment