background img

The New Stuff

KUTOKA KIJIWENI__WE MWENETU!! TABIA GANI YA KUMRUKA UKUTA MKEO...? BOFYA HAPA KUPATA UHONDO KAMILI

NA MWANA KIJIWE
Habari za mida mdau wangu wa hii safu ya Stori za kijiweni na mwanakijiwe a.k.a Zee, leo nimeamua kuweka mada Fulani kama na wewe ulishawahi kusikia wana au samutaimu washua watu wazima kabisa wakibonga kuhusu zile ishu za usodomadaizi si umeninyaka mwenetu..? yah!! hizo hizo wenyewe wanasema eti wanatumia tafusida 'kuruka ukuta'.

Ujue izi ishu zilianza kitambo sana tangu Zee nikiwa njuka ama chailidi unaambiwa na wazungu hivyo izo ishu zilikuwa zimezagaa kinoma noma. Mara nasikia tu kutoka kwa ma blaza wa kipindi kile kwamba duh!! ile ishu ya Fulani ina mpododo matata sana mwana unaambiwa deile anaruka ukuta sasa Zee nikawa najua ahh!!! labda blaza alikuwa anaruka ule ukuta wa kwa kina yule shizo kumbe wapi ni zile zile ishu za usodomadaizi mwenetu.

Yiazi zikapita pita Zee nimekuwa blaza sasa na mimi bado nazidi zisikia zile zile za kuruka ukutatoka wa wana hadi madingi wa hii mitaa, ujue Zee ninapoishi siku tukipigwa kiberiti haponi mtu huku fulu mazambi uchungaji huko bushi town watu ni masilahi tu!.

Hii mada kifupi Zee huwa naona soo sana kuiongelea wazi wazi ila leo ndio najiuliza hapa hau kamzi mwenetu tena una mke kabisa kwa hausi afu una mruka ukuta..? kulaleki ujue Zee naeza pewa kesi hapo!!

Nimepozi zangu kijiweni na wanangu tuna sikilizia kamvua kakatike tuingie michakarikoni tupate kufidi miili kwa nutrient fudi si ndio akaropoka mshikaji mmoja pale "Dah!! ichi kibaridi mtu mzima ndio uwe na mototo mzuri kwa bedi mbona unasahau kama kuna reini njee!". Wana tukasapoti pale likiwa kama moja ya mawazo chanya kwa muda ule plasi ujana nao ilo ni bonge la aidia mwenetu!.

Sasa mada zikabadilika pale kistoni ishu za katiba mpya waachie akina siksi! wenyewe acha vijana tupeane darasa mseto kwaza. wana wakaanza funguka ma staili unaambiwa kama ni setifiketi basi huku wangetoka maprofesa lipumba mtoto hapo.

 Wana wanafunguka tu sapoti kubwa ikawa kwenye ile wenyewe wanaiita katarero! si nimepatia jina mwanangu..?  yes!! hiyo hiyo unaambiwa hiyo demu hata awe kama mshikaki yani hana zile maji maji hapo atazitoa tu!!

Upo hapo mwanangu!! si akaibuka msela huko akaleta na yeye mpya yakee!! "masala usiambiwe kitu ukiruka  ukuta ni nomaa!! mtamu balaa!" Zee nikapozi kwanza nikasema hau kamzi mpaka leo msela kama faza vile anatokea vitoto vidogo hadi akaruke kuta za watu. Si ndio nikaambiwa msela ana kula ekzaiti dO!

Unaambiwa mwana ana waifu materio ndani ila ni mdau kisenzi wa hizo swagga kifupi ni bonge la bazazi hapa town. Zee nikaona hii sasa ni noma kama so nuksi kijiweni yani blaza kaka msela ukimcheki ni bonge la papaa!! kumbe anapitaga ekzait dO!!?

Eti mwanangu wewe unalichukuliaje hili ishu la kupita mlango wa nyuma..? ujue ni bonge ya sini kwa sa Godi uko juu!!, unaambiwa kila msela mmoja atakapozama nyuma dunia ndio inatikisika afu huyu mwana anazidi leta hizo mishe. Zee sikuona sababu yakuendelea kubaki pale wacha nijichanganye katikati ya mvua hata nipate mibaraka ya sa Godi kuliko zile nuksi za kijiweni.

Mchana mwema mwenetu mwenyewe tusomane mida mida kama vipi maana kuna ishu nazifutilia hapa town si unajua mwili haujengwi kwa tofali mzazi!.


0 comments:

Popular Posts