Kama anavyoonekana kwenye picha hapo chini huyo ni rapper Snoop Dogg aliyetamba vilivyo kwenye kibao cha "Wiggle" ameamua kutoa kipande cha video akijiita white snoop "Todd" anitangaza mtandao wa wanaume weupe ama 'wazungu' wanaotafuta wenzi.Hata ivyo imegundulika kuwa mtandao huo haupo hali iliyozua hasira kwa wengi hasa weupe wakiita sio utani bali ni ubaguzi wa wazi..ikifuatiwa na matukio yakuuawa vijana wawili weusi nchini uko na polisi
wanasema mzaha mzaha una 'deshi' ..... 'deshi'...... Anko!! Snoop
0 comments:
Post a Comment