background img

The New Stuff

BREAKING NEWS!!! SASA NI HATARI KICHWA CHA MCHUNGAJI TB JOSHUA CHACHEZEWA UPATU NA BOKO HARAMU_WAAPA KUMSAKA NA KUMCHINJA BOFYA HAPA KUSOMA


KUTOKA MTANDAONI
Likiwa ni kundi hatari Zaidi katika karne hii na ugaidi Afrika, Boko haramu kutoka Nigeria waapa kumsaka na kumkata kichwa mchungaji maarufu nchini huko TB Joshua.

Huku ikikumbukwa kuwa katika wiki mbili zilizopita wameshawakata vichwa raia kadhaa kutoka nchi za ulaya.

Wakiiwekea upatu kichwa cha mchungaji huyo maarufu Afrika wadai nguvu zza Mungu wao zinazidi nguvu za Mungu wa mchungaji huyo.
Chanzo cha msako huo ni madai ya kulipiza kisasi kwa mchungaji huyo

0 comments:

Popular Posts