background img

The New Stuff

JWTZ YAWASHUKIA NEY WA MITEGO NA DIAMOND PLATNUM!!!!___NI KUHUSU SARE ZA JESHI WALIZOVAA FIESTA



Msanii Diamond akiwa jukwaani na sare za jeshi

KUTOKA MTANDAONI
Ikiwa ni siku chache baada ya show ya Fiesta kufanyika dar es salaaam jeshi la wananchi 'jwtz' limemshukia na kusema litampa adhabu ali likibaini kosa hilo alilolifanya msanii huyu.


Wasanii wawili diamond na Ney wa mitego


Hali hii imetafsiriwa na wadau mbali mbali kama uzalilishaji wajeshi la wananchi wa Tanzania nakutaka atua kali zichukuliwe kutokomeza tabia hii mbaya katika jamii

0 comments:

Popular Posts