NI HUZUNI ULIMWENGU WA BURUDANI BONGO__BOFYA HAPA KUPATA KUMFAHAMU MAREHEMU MSANII YP KUTOKA TMK WANAUME FAMILY
KUTOKA MITANDAONI
Jina kamili anaitwa Yessaya Ambikile jukwaani alijulikana kama YP, akiwa ni rafiki mkubwa wa msanii mwenzake Y Dash wote kutoka TMK (Alikuwa na marafiki wengine pia) Alitamba sana katika nyimbo kama 'Dar mpaka moro', 'Ulipenda pesa', 'Pumzika' pia nyimbo ya msanii Chege kutoka TMK pia ya 'Twende zetu'
Vyanzo mbali mbali vya habari vinaema kuwa alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kifua kwa muda mrefulakini wiki mbili zilizopita hali yake ilianza kuwa mbaya ambayo ndiyo yaliyomletea umauti katika hospitali ya Temeke jana usiku 20 octoba 2014
"Mungu ampumzishe mahala pema peponi msanii YP"
Ameni!
0 comments:
Post a Comment