background img

The New Stuff

DAKA SONG JIPYA ALILOSHIRIKISHWA BARNABA BOY NA RAP MKALI KUTOKA RAU MO TOWN "BABY NIELEWE"



 NA ZEE LA KIJIWE

Mkali wa Bongo fleva na mcharaza Guita matata msanii Barnaba Boy hivi karibuni amepewa shavu na rap Samson ama Sha2 kutokea pande za RAU  MO TOWN katika song kali na lakijanja BABY NIELEWE.

Akizungumzia song hilo mkali Sha2 amewaahidi washabiki wake kona zote Tanzania na East Afrika kuwa wakae tayari kwa mfululizo wa vitu vikali akiwa na mastaa mbali mbali ndani na njee ya Bongo

Pia alitoa sharaut kwa kundi zima la JESUS CLASSIC lenye maskani yake pande za MO Town na wakali kibao maDJ wanaosapoti mziki wa nyumbani redio presenta bila kusahau makundi ya Team RAU na Rau Unit yenye maskani yake pande hizo hizo za Mo Town.

Kudownload BOFYA HAPA!

0 comments:

Popular Posts