background img

The New Stuff

KMG KUMSIMAMIA MSANII SAMSON WA JESUS CLASSIC



Na Ze Trojan 

Msanii Samson maarufu kama Shafii/Shatuu kutoka kundi la Jesus Classic lenye maskani yake mitaa ya Mo Town, Rau amesaini mkataba na management mpya ya KMG yenye ofisi zake Mo Town Kitaa Media imeelezwa.

Akitambulisha ujio wake huo msanii Samson kupitia group lake WhatApp Friends Of Samson (Sha2) na mitandao mingine ya kijamii msanii Samson amewataka mashabiki wake Bongo Land, Uganda Kenya na mahali popote walipo wasubiri kazi nzuri toka kwake kwa ajili yao.

pia Samson alichukua nafasi hiyo kuwakumbusha fans wa mziki mzuri kumtafuta kwa namba +25571985361 ili awa Add kwa group lenye Network ya mziki huo. (Kama ni under ground changamkia fursa, hahah ni neno langu lakini mwenetu wa ukwe ee! au vipi?)

Kupata ngoma za Samson Tembelea HAPA!

0 comments:

Popular Posts