background img

The New Stuff

MWENETU WA KITAA KWA USONGO HUU, CHURA CHA MAJANGA LAZIMA KIYAKATE GETO




Na Zee Trojani
mwenetu mishe vipii!? dah leo nimedata mwenenu ujue bongo kuna Vyungu kishenzi mwenetu?, asa uniulize vyungu kivipi sasa...ekhee hapo hapo mwenetu kuwa mpole kwanza, umeliona lile dude la Kyura!? ee!! hilo hilo la kyura wenyewe wanaita Chura, hahah hilo hilo mwenetu ujue lile dude ni noma sana? sasa mwenenu unaambiwa nililikodolea amacho ka mara selasini selasini hivi kiudenda ichoo kikantoka, kwani mwanao Trojani ndio siruhusiwe kuburudika kwa macho? ujue watu wanafaidi sana mwenetu, embu kwa mfano wewe ndio ile mbuzi?, sisemi wewe mwenetu ni mbuzi mnyama yani ile ndude ya kukunia nazi alivyoifanya ndio tukuweke pale mwenetu...umeona ee lazima udate kwa uroda pale.

mwanao nikaona si kesi ngoja nichoreshe na wanangu wa kijiwe si unajua siku hizi mambo za frii masoni hazina dili tena kijiweni sasa tunapiga mambo za kyura tu siku hizi , basi wana wakasogea ujue wakati mnaangalia hizi mambo kuna wale wakudeshi deshi kiparoko asa mwenetu Sele alikuwa na hizo za kiparoko, aaah!! acha kutuzingua mwenetu kwani wewe ichi kyura unaona cha kawaida nzee!? ujue uache kutuchora badae ukiombe kwa watsApp, mwanao sita kutumia au siyo mwenetu mwenyewe kwa kioo? huyu jamaa si anazingua dambwe? ...Ee! ndio maana nakukubaligi siku zote mwenetu.

Basi huyu tumteme sisi turudi kwa kyura turukishe majoka, wana wamekodolea skrini ya simu kama ndio ukaguzi wa majina ya peponi vile si unajua tena kyura kikiruka ni stimu tu mwenetu, asa usiombe apite laivu laivu ile ghafla tu mbona utakoma mwenyewe na kyura wako usipokuwa gorila mbona wana wanambeba juu juu akarukeruke au wewe mwenetu unasemaje? kyura si anatakiwa kuruka ruka magetoni au? basi ngoja tukakisake kitaa cha pili kwa kina Hadija msomali au vipi mwenetu? twenzetu kama vipi si unajua Trojan ndio mwanao...

0 comments:

Popular Posts